kujua password ya memory card
Follow These Steps:
Step1: Install x-plore katika simu yako kama huna search google
Step2: Open your X-plore apps halafu bonyeza sifuri then mark "show the system files"
Step3: baada ya hapo nenda path hii C:/Sys/Data/ Mmcstore
Step4: baada ya hapo bonyeza 3 ili ikae katika hex viewer
Step5: kwenye mstari wa 3 utaona code hizi TMSD02G (c??"? x???6?2?6?2?6). Basi namba katikati ya alama za kuuliza ndo password yako ie: 62626