angalia quality ya simu yako
Nokia ni kati ya simu inayomilikiwa na watu wengi, lakini siku za karibuni watu wengi wanachanganyikiwa kujua kama simu zao ni low quality au high quality leo ntawafundisha njia ya kujua quality kwa kutumia imei
kuangalia imei ya simu yako bonyeza *06# halafu utaangalia namba ya 7 na 8
x x x x x x ? ? x x
x x
simu zenye namba 02 au 20 inamaana ni za middle east (emirates) quality yake sio nzuri
simu zenye namba 08 au 80 ni za german ina maana quality yake ni fair
kama namba ya 7 na ya 8 inaishiwa na 10 au 01 inamana simu inatoka finland hio ni very good quality
na kama ina namba 00 ina maana simu inatoka kiwanda kikuu cha nokia hio ni best quality
na kama ni namba 13 ina maana inatoka china au azerbjan ambayo ni quality mbovu